Rukia hadi maudhui

Matendo 23:16 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 23:16 BHN (Biblia Habari Njema)

Lakini mtoto wa ndugu yake Paulo alisikia juu ya mpango huo; hivyo akaenda ndani ya ngome, akamjulisha Paulo juu ya njama hiyo.

Matendo 23 BHN

Matendo 23:16 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Mjomba wake Paulo akasikia habari za kuotea kwao, akaenda akaingia ndani ya ngome akampasha Paulo habari.

Matendo 23 SUV

Matendo 23:16 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Mjomba wake Paulo akasikia habari za kuotea kwao, akaenda akaingia ndani ya ngome akampasha Paulo habari.

Matendo 23 SRUV

Matendo 23:16 NEN (Neno)

Lakini mtoto wa dada yake Paulo aliposikia kuhusu njama hiyo, alienda kule kwenye ngome ya askari na kumweleza Paulo.

Matendo 23 NEN