Matendo 22:6 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 22:6 BHN (Biblia Habari Njema)
“Basi, nilipokuwa njiani karibu na kufika Damasko, yapata saa sita mchana, mwanga mkubwa kutoka mbinguni ulitokea ghafla ukaniangazia pande zote.
Shirikisha
Matendo 22 BHNMatendo 22:6 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa nilipokuwa nikisafiri, nikikaribia Dameski, wakati wa adhuhuri, ghafula nuru kuu ilitoka mbinguni, ikanimulikia pande zote.
Shirikisha
Matendo 22 SUVMatendo 22:6 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Ikawa nilipokuwa nikisafiri, nikikaribia Dameski, wakati wa adhuhuri, ghafla nuru kuu ilitoka mbinguni, ikanimulikia pande zote.
Shirikisha
Matendo 22 SRUVMatendo 22:6 NEN (Neno)
“Nilipokuwa njiani kuelekea Dameski, yapata saa sita mchana, ghafula nuru kubwa kutoka mbinguni ikanimulika kotekote.
Shirikisha
Matendo 22 NEN