Matendo 22:28 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 22:28 BHN (Biblia Habari Njema)
Mkuu wa jeshi akasema, “Mimi nami nimekuwa raia wa Roma kwa kulipa gharama kubwa.” Paulo akasema, “Lakini mimi ni raia wa Roma kwa kuzaliwa.”
Shirikisha
Matendo 22 BHNMatendo 22:28 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jemadari akajibu, Mimi nalipata wenyeji huu kwa mali nyingi. Paulo akasema, Na mimi ni Mrumi wa kuzaliwa.
Shirikisha
Matendo 22 SUVMatendo 22:28 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Jemadari akajibu, Mimi nilipata wenyeji huu kwa mali nyingi. Paulo akasema, Na mimi ni Mrumi wa kuzaliwa.
Shirikisha
Matendo 22 SRUVMatendo 22:28 NEN (Neno)
Ndipo yule jemadari akasema, “Mimi ilinigharimu kiasi kikubwa cha fedha kupata uraia wangu.” Paulo akasema “Lakini mimi ni raia wa Rumi kwa kuzaliwa.”
Shirikisha
Matendo 22 NEN