Rukia hadi maudhui

Matendo 22:22 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 22:22 BHN (Biblia Habari Njema)

Mpaka hapa, wale watu walikuwa wanamsikiliza, lakini aliposema maneno haya, walianza kusema kwa sauti kubwa, “Mwondoe duniani! Mtu wa namna hiyo hastahili kuishi.”

Matendo 22 BHN

Matendo 22:22 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Wakamsikiliza mpaka neno lile, wakapaza sauti zao, wakisema, Mwondoe huyu katika nchi, kwa maana haifai aishi.

Matendo 22 SUV

Matendo 22:22 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Wakamsikiliza mpaka neno lile, wakapaza sauti zao, wakisema, Mwondoe huyu katika nchi, kwa maana haifai aishi.

Matendo 22 SRUV

Matendo 22:22 NEN (Neno)

Umati ule wa watu wakamsikiliza Paulo hadi aliposema neno hilo, ndipo wakapaza sauti zao na kupiga kelele wakisema, “Mwondoeni duniani, hafai kuishi!”

Matendo 22 NEN