Rukia hadi maudhui

Matendo 22:20 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 22:20 BHN (Biblia Habari Njema)

Na kwamba wakati shahidi wako Stefano alipouawa, mimi binafsi nilikuwako pale nikakubaliana na kitendo hicho na kuyalinda makoti ya wale waliokuwa wanamuua.’

Matendo 22 BHN

Matendo 22:20 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Na damu ya Stefano shahidi wako ilipomwagwa, mimi nami nilikuwa nikisimama karibu, nikikubali, na kuzitunza nguo zao waliomwua.

Matendo 22 SUV

Matendo 22:20 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Na damu ya Stefano shahidi wako ilipomwagwa, mimi nami nilikuwa nikisimama karibu, nikikubali, na kuzitunza nguo zao waliomwua.

Matendo 22 SRUV

Matendo 22:20 NEN (Neno)

Damu ya shahidi wako Stefano ilipomwagwa, mimi mwenyewe nilikuwa nimesimama kando, nikikubaliana na kitendo hicho na kutunza mavazi ya wale waliomuua.’

Matendo 22 NEN