Matendo 20:4 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 20:4 BHN (Biblia Habari Njema)
Sopatro, mwana wa Pirho, kutoka Berea, aliandamana naye; pia Aristarko na Sekundo kutoka Thesalonike, Gayo kutoka Derbe, Timotheo, Tukiko na Trofimo wa mkoa wa Asia.
Shirikisha
Matendo 20 BHNMatendo 20:4 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu hawa wakafuatana naye, Sopatro Mberoya, mwana wa Piro, na Aristarko na Sekundo, watu wa Thesalonike; na Gayo mtu wa Derbe, na Timotheo; na Tikiko na Trofimo watu wa Asia.
Shirikisha
Matendo 20 SUVMatendo 20:4 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Watu hawa wakafuatana naye, Sopatro Mberea, mwana wa Piro, na Aristarko na Sekundo, watu wa Thesalonike; na Gayo mtu wa Derbe, na Timotheo; na Tikiko na Trofimo watu wa Asia.
Shirikisha
Matendo 20 SRUVMatendo 20:4 NEN (Neno)
Paulo aliandamana na Sopatro mwana wa Piro kutoka Beroya, Aristarko na Sekundo kutoka Thesalonike, na Gayo kutoka Derbe, pia Timotheo pamoja na Tikiko na Trofimo kutoka jimbo la Asia.
Shirikisha
Matendo 20 NEN