Matendo 20:34 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 20:34 BHN (Biblia Habari Njema)
Mnajua nyinyi wenyewe kwamba nimefanya kazi kwa mikono yangu mwenyewe, ili kujipatia mahitaji yangu na ya wenzangu.
Matendo 20:34 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ninyi wenyewe mnajua ya kuwa mikono yangu hii imetumika kwa mahitaji yangu na ya wale waliokuwa pamoja nami.
Matendo 20:34 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Ninyi wenyewe mnajua ya kuwa mikono yangu hii imetumika kwa mahitaji yangu na ya wale waliokuwa pamoja nami.
Matendo 20:34 NEN (Neno)
Ninyi wenyewe mnajua kwamba mikono yangu hii imetumika kwa mahitaji yangu na ya wale waliokuwa pamoja nami.