Matendo 20:26 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 20:26 BHN (Biblia Habari Njema)
Hivyo, leo hii ninawathibitishieni rasmi kwamba ikijatokea akapotea mmoja wenu, mimi sina lawama yoyote.
Matendo 20:26 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo nawashuhudia wote siku hii ya leo, ya kuwa mimi sina hatia kwa damu ya mtu awaye yote.
Matendo 20:26 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo nawashuhudia wote siku hii ya leo, ya kuwa mimi sina hatia kwa damu ya mtu awaye yote.