Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Matendo 2:7 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 2:7 BHN (Biblia Habari Njema)

Walistaajabu na kushangaa wakisema, “Je, hawa wote tunaowasikia wakisema hivi, si wenyeji wa Galilaya?

Shirikisha
Matendo 2 BHN

Matendo 2:7 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Wakashangaa wote, wakastaajabu wakiambiana, Tazama, hawa wote wasemao si Wagalilaya?

Shirikisha
Matendo 2 SUV

Matendo 2:7 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Wakashangaa wote, wakastaajabu wakiambiana, Tazama, hawa wote wasemao si Wagalilaya?

Shirikisha
Matendo 2 SRUV

Matendo 2:7 NEN (Neno)

Wakiwa wameshangaa na kustaajabu, wakauliza, “Je, hawa wote wanaozungumza si Wagalilaya?

Shirikisha
Matendo 2 NEN