Matendo 2:6 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 2:6 BHN (Biblia Habari Njema)
Waliposikia sauti hiyo, kundi kubwa la watu lilikusanyika. Wote walishtuka sana kwani kila mmoja wao aliwasikia hao waumini wakisema kwa lugha yake mwenyewe.
Shirikisha
Matendo 2 BHNMatendo 2:6 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi sauti hii iliposikiwa makutano walikutanika, wakashikwa na fadhaa, kwa kuwa kila mmoja aliwasikia wakisema kwa lugha yake mwenyewe.
Shirikisha
Matendo 2 SUVMatendo 2:6 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Basi sauti hii iliposikiwa makutano walikutanika, wakashikwa na fadhaa, kwa kuwa kila mmoja aliwasikia wakisema kwa lugha yake mwenyewe.
Shirikisha
Matendo 2 SRUVMatendo 2:6 NEN (Neno)
Waliposikia sauti hii, umati wa watu walikusanyika pamoja wakistaajabu, kwa sababu kila mmoja wao aliwasikia wakisema kwa lugha yake mwenyewe.
Shirikisha
Matendo 2 NEN