Nembo ya Programu ya Biblia
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 2:37 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 2:37 BHN (Biblia Habari Njema)

Basi, watu waliposikia hayo, walichomwa moyo, wakawauliza Petro na wale mitume wenzake: “Ndugu zetu, tufanye nini?”

Shirikisha
Matendo 2 BHN

Matendo 2:37 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Walipoyasikia haya wakachomwa mioyo yao, wakamwambia Petro na mitume wengine, Tutendeje, ndugu zetu?

Shirikisha
Matendo 2 SUV

Matendo 2:37 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Walipoyasikia haya wakachomwa mioyo yao, wakamwambia Petro na mitume wengine, Tutendeje, ndugu zetu?

Shirikisha
Matendo 2 SRUV

Matendo 2:37 NEN (Neno)

Watu waliposikia maneno haya yakawachoma mioyo yao, wakawauliza Petro na wale mitume wengine, “Ndugu zetu tufanye nini?”

Shirikisha
Matendo 2 NEN