Matendo 2:27 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 2:27 BHN (Biblia Habari Njema)
maana hutaiacha roho yangu kuzimu, wala kumruhusu mtakatifu wako aoze.
Shirikisha
Matendo 2 BHNMatendo 2:27 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana hutaiacha roho yangu katika kuzimu; Wala hutamtoa Mtakatifu wako aone uharibifu.
Shirikisha
Matendo 2 SUVMatendo 2:27 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana hutaiacha roho yangu katika kuzimu; Wala hutamtoa Mtakatifu wako aone uharibifu.
Shirikisha
Matendo 2 SRUVMatendo 2:27 NEN (Neno)
Kwa maana hutaniacha kaburini, wala hutamwacha Aliye Mtakatifu wako kuona uharibifu.
Shirikisha
Matendo 2 NEN