Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Matendo 2:18 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 2:18 BHN (Biblia Habari Njema)

Naam, hata watumishi wangu wa kiume na kike, nitawamiminia Roho wangu siku zile, nao watatoa unabii.

Shirikisha
Matendo 2 BHN

Matendo 2:18 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Naam, na siku zile nitawamwagia watumishi wangu wanaume na wanawake Roho yangu, nao watatabiri.

Shirikisha
Matendo 2 SUV

Matendo 2:18 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Naam, na siku zile nitawamwagia watumishi wangu wanaume na wanawake Roho yangu, nao watatabiri.

Shirikisha
Matendo 2 SRUV

Matendo 2:18 NEN (Neno)

Hata juu ya watumishi wangu, wanaume kwa wanawake, katika siku zile nitamimina Roho wangu, nao watatabiri.

Shirikisha
Matendo 2 NEN