Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Matendo 2:11 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 2:11 BHN (Biblia Habari Njema)

Wayahudi na watu walioongokea dini ya Kiyahudi; wengine wametoka Krete na Arabia. Sisi sote tunasikia wakisema kwa lugha zetu wenyewe mambo makuu ya Mungu.”

Shirikisha
Matendo 2 BHN

Matendo 2:11 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Wakrete na Waarabu; tunawasikia hawa wakisema kwa lugha zetu matendo makuu ya Mungu.

Shirikisha
Matendo 2 SUV

Matendo 2:11 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Wakrete na Waarabu; tunawasikia hawa wakisema kwa lugha zetu matendo makuu ya Mungu.

Shirikisha
Matendo 2 SRUV

Matendo 2:11 NEN (Neno)

(Wayahudi na wale walioongokea dini ya Kiyahudi), Wakrete na Waarabu: sote tunawasikia watu hawa wakisema mambo makuu ya ajabu ya Mungu katika lugha zetu wenyewe.”

Shirikisha
Matendo 2 NEN