Rukia hadi maudhui

Matendo 19:9 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 19:9 BHN (Biblia Habari Njema)

Lakini wengine walikuwa wakaidi, wakakataa kuamini, wakaanza kuongea vibaya juu ya hiyo njia ya Bwana katika kusanyiko la watu. Hapo Paulo alivunja uhusiano nao, akawachukua pembeni wale wanafunzi wake, akawa anazungumza nao kila siku katika jumba la masomo la Turano.

Matendo 19 BHN

Matendo 19:9 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Lakini wengine walikaidi, wakakataa kuamini, wakiitukana ile Njia mbele ya mkutano; basi, akaondoka akawaacha, akawatenga wanafunzi, akahojiana na watu kila siku katika darasa ya mtu mmoja, jina lake Tirano.

Matendo 19 SUV

Matendo 19:9 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Lakini wengine walikaidi, wakakataa kuamini, wakiitukana ile Njia mbele ya mkutano; basi, akaondoka akawaacha, akawatenga wanafunzi, akahojiana na watu kila siku katika darasa la mtu mmoja, jina lake Tirano.

Matendo 19 SRUV

Matendo 19:9 NEN (Neno)

Lakini baadhi yao wakakaidi; walikataa kuamini, na wakakashifu Njia Ile hadharani. Basi Paulo aliachana nao. Akaenda na wanafunzi wale, akahojiana nao kila siku katika darasa la Tirano.

Matendo 19 NEN