Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Matendo 19:8 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 19:8 BHN (Biblia Habari Njema)

Kwa muda wa miezi mitatu Paulo alikuwa akienda katika sunagogi, akawa na majadiliano ya kuvutia sana juu ya ufalme wa Mungu.

Shirikisha
Matendo 19 BHN

Matendo 19:8 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Akaingia ndani ya sinagogi, akanena kwa ushujaa kwa muda wa miezi mitatu, akihojiana na watu, na kuwavuta katika mambo ya ufalme wa Mungu.

Shirikisha
Matendo 19 SUV

Matendo 19:8 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Akaingia ndani ya sinagogi, akanena kwa ushujaa kwa muda wa miezi mitatu, akihojiana na watu, na kuwavuta katika mambo ya ufalme wa Mungu.

Shirikisha
Matendo 19 SRUV

Matendo 19:8 NEN (Neno)

Paulo akaingia katika sinagogi na kunena humo kwa ujasiri kwa muda wa miezi mitatu, akijadiliana na watu na kuwashawishi katika mambo ya ufalme wa Mungu.

Shirikisha
Matendo 19 NEN