Matendo 19:3 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 19:3 BHN (Biblia Habari Njema)
Naye akasema, “Sasa mlipata ubatizo wa namna gani?” Wakamjibu, “Ubatizo wa Yohane.”
Shirikisha
Matendo 19 BHNMatendo 19:3 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawauliza, Basi mlibatizwa kwa ubatizo gani? Wakasema, Kwa ubatizo wa Yohana.
Shirikisha
Matendo 19 SUVMatendo 19:3 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Akawauliza, Basi mlibatizwa kwa ubatizo gani? Wakasema, Kwa ubatizo wa Yohana.
Shirikisha
Matendo 19 SRUVMatendo 19:3 NEN (Neno)
Ndipo Paulo akawauliza, “Je, mlibatizwa kwa ubatizo gani?” Wakajibu, “Kwa ubatizo wa Yohana.”
Shirikisha
Matendo 19 NEN