Rukia hadi maudhui

Matendo 19:22 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 19:22 BHN (Biblia Habari Njema)

Hivyo, aliwatuma wawili wa wasaidizi wake, Timotheo na Erasto, wamtangulie kwenda Makedonia, naye akabaki kwa muda huko Asia.

Matendo 19 BHN

Matendo 19:22 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Akatuma watu wawili miongoni mwa wale waliomtumikia kwenda Makedonia, nao ni Timotheo na Erasto, yeye mwenyewe akakaa katika Asia kitambo.

Matendo 19 SUV

Matendo 19:22 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Akatuma watu wawili miongoni mwa wale waliomtumikia kwenda Makedonia, nao ni Timotheo na Erasto, yeye mwenyewe akakaa katika Asia kwa muda.

Matendo 19 SRUV

Matendo 19:22 NEN (Neno)

Hivyo akatuma wasaidizi wake wawili, Timotheo na Erasto, waende Makedonia, wakati yeye mwenyewe alibaki kwa muda kidogo huko jimbo la Asia.

Matendo 19 NEN