Rukia hadi maudhui

Matendo 18:5 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 18:5 BHN (Biblia Habari Njema)

Baada ya Sila na Timotheo kuwasili kutoka Makedonia, Paulo alianza kutumia wakati wake wote kwa ajili ya kuhubiri, akawathibitishia Wayahudi kwamba Yesu ndiye Kristo.

Matendo 18 BHN

Matendo 18:5 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Hata Sila na Timotheo walipotelemka kutoka Makedonia, Paulo akasongwa sana na lile neno, akiwashuhudia Wayahudi ya kwamba Yesu ni Kristo.

Matendo 18 SUV

Matendo 18:5 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Hata Sila na Timotheo walipoteremka kutoka Makedonia, Paulo akasongwa sana na lile neno, akiwashuhudia Wayahudi ya kwamba Yesu ni Kristo.

Matendo 18 SRUV

Matendo 18:5 NEN (Neno)

Sila na Timotheo walipowasili kutoka Makedonia, walimkuta Paulo akiwa amejitolea muda wake wote katika kuhubiri, akiwashuhudia Wayahudi kwamba Yesu ndiye Kristo.

Matendo 18 NEN