Matendo 17:7 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 17:7 BHN (Biblia Habari Njema)
Yasoni amewakaribisha nyumbani kwake. Wote wanafanya kinyume cha amri ya Kaisari wakisema eti: ‘Kuna mfalme mwingine aitwaye Yesu.’”
Matendo 17:7 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Yasoni amewakaribisha; na hawa wote wanatenda mambo yaliyo kinyume cha amri za Kaisari, wakisema na kwamba yupo mfalme mwingine, aitwaye Yesu.
Matendo 17:7 SRUV (Swahili Revised Union Version)
na Yasoni amewakaribisha; na hawa wote wanatenda mambo yaliyo kinyume cha amri za Kaisari, wakisema na kusema yupo mfalme mwingine, aitwaye Yesu.
Matendo 17:7 NEN (Neno)
naye Yasoni amewakaribisha nyumbani mwake. Hawa wote wanaasi amri za Kaisari wakisema yuko mfalme mwingine aitwaye Yesu.”