Matendo 17:16 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 17:16 BHN (Biblia Habari Njema)
Paulo alipokuwa anawasubiri Sila na Timotheo huko Athene, moyo wake ulighadhibika sana alipoona jinsi mji huo ulivyokuwa umejaa sanamu za miungu.
Matendo 17:16 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Paulo alipokuwa akiwangojea huko Athene na kuona jinsi mji ule ulivyojaa sanamu, roho yake ilichukizwa sana ndani yake.
Matendo 17:16 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Paulo alipokuwa akiwangojea huko Athene na kuona jinsi mji ule ulivyojaa sanamu, roho yake ilichukizwa sana ndani yake.
Matendo 17:16 NEN (Neno)
Paulo alipokuwa akiwasubiri huko Athene, alisumbuka sana moyoni mwake kuona vile mji huo ulivyojaa sanamu.