Matendo 16:6 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 16:6 BHN (Biblia Habari Njema)
Walipitia sehemu za Frugia na Galatia kwani Roho Mtakatifu hakuwaruhusu kuhubiri huo ujumbe mkoani Asia.
Matendo 16:6 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakapita katika nchi ya Frigia na Galatia, wakikatazwa na Roho Mtakatifu, wasilihubiri lile neno katika Asia.
Matendo 16:6 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Wakapita katika nchi ya Frigia na Galatia, wakikatazwa na Roho Mtakatifu, wasilihubiri lile neno katika Asia.
Matendo 16:6 NEN (Neno)
Paulo pamoja na wenzake wakasafiri sehemu za Frigia na Galatia, kwa kuwa Roho Mtakatifu hakuwaruhusu kulihubiri neno huko jimbo la Asia.