Matendo 16:35 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 16:35 BHN (Biblia Habari Njema)
Kesho yake asubuhi, mahakimu waliwatuma maofisa wao wakisema, “Wafungueni wale watu.”
Matendo 16:35 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kulipopambauka makadhi wakawatuma wakubwa wa askari wakisema, Waacheni watu wale waende zao.
Matendo 16:35 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Kulipopambazuka mahakimu wakawatuma wakubwa wa askari wakisema, Waacheni watu wale waende zao.
Matendo 16:35 NEN (Neno)
Kulipopambazuka wale mahakimu wakawatuma maafisa wao kwa mkuu wa gereza wakiwa na agizo linalosema, “Wafungue wale watu, waachie waende zao.”