Matendo 15:38 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 15:38 BHN (Biblia Habari Njema)
Lakini Paulo hakupendelea kumchukua Marko, ambaye awali aliwaacha kule Pamfulia na kukataa kushiriki katika kazi yao.
Matendo 15:38 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali Paulo hakuona vema kumchukua huyo aliyewaacha huko Pamfilia, asiende nao kazini.
Matendo 15:38 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Bali Paulo hakuona vema kumchukua huyo aliyewaacha huko Pamfilia, asiende nao kazini.
Matendo 15:38 NEN (Neno)
Lakini Paulo aliona si vyema kwa sababu aliwahi kuwaacha walipokuwa huko Pamfilia, hakutaka kuendelea kufanya kazi naye.