Matendo 15:20 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 15:20 BHN (Biblia Habari Njema)
Bali tuwapelekee barua kuwaambia wasile vyakula vilivyotiwa unajisi kwa kutambikiwa vinyago vya miungu; wajiepushe na uasherati; wasile mnyama yeyote aliyenyongwa, na wasinywe damu.
Matendo 15:20 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
bali tuwaandikie kwamba wajiepushe na unajisi wa sanamu, na uasherati, na nyama zilizosongolewa, na damu.
Matendo 15:20 SRUV (Swahili Revised Union Version)
bali tuwaandikie kwamba wajiepushe na unajisi wa sanamu, na uasherati, na nyama zilizosongolewa, na damu.
Matendo 15:20 NEN (Neno)
Badala yake, tuwaandikie kwamba wajiepushe na vyakula vilivyonajisiwa kwa kutolewa sanamu, wajiepushe na uasherati, au kula mnyama aliyenyongwa, na damu.