Rukia hadi maudhui

Matendo 14:8 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 14:8 BHN (Biblia Habari Njema)

Kulikuwa na mtu mmoja huko Lustra ambaye alikuwa kiwete tangu kuzaliwa, na alikuwa hajapata kutembea kamwe.

Matendo 14 BHN

Matendo 14:8 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Na huko Listra palikuwa na mtu mmoja, dhaifu wa miguu, kiwete tangu tumboni mwa mamaye, ambaye hajaenda kabisa.

Matendo 14 SUV

Matendo 14:8 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Na huko Listra palikuwa na mtu mmoja, asiyeweza kutumia miguu yake na aliyekuwa kiwete tangu kuzaliwa kwake.

Matendo 14 SRUV

Matendo 14:8 NEN (Neno)

Katika mji wa Listra, kulikuwa na kiwete, aliyekuwa amelemaa tangu kuzaliwa, na hakuwa ametembea kamwe.

Matendo 14 NEN