Rukia hadi maudhui

Matendo 14:6 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 14:6 BHN (Biblia Habari Njema)

Mitume walipogundua jambo hilo, walikimbilia Lustra na Derbe, miji ya Lukaonia, na katika sehemu za jirani

Matendo 14 BHN

Matendo 14:6 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

wao wakapata habari wakakimbilia Listra na Derbe, miji ya Likaonia, na nchi zilizo kando kando

Matendo 14 SUV

Matendo 14:6 SRUV (Swahili Revised Union Version)

wao wakapata habari wakakimbilia Listra na Derbe, miji ya Likaonia, na nchi zilizo kandokando

Matendo 14 SRUV

Matendo 14:6 NEN (Neno)

Lakini mitume walipopata habari hizi wakakimbilia Listra na Derbe, miji ya Likaonia na sehemu zilizopakana nayo.

Matendo 14 NEN