Rukia hadi maudhui

Matendo 14:26 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 14:26 BHN (Biblia Habari Njema)

Kutoka huko walisafiri kwa meli wakarudi Antiokia ambako hapo awali walikuwa wamewekwa chini ya ulinzi wa neema ya Mungu kwa ajili ya kazi ambayo sasa walikuwa wameitimiza.

Matendo 14 BHN

Matendo 14:26 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Na kutoka huko wakaabiri kwenda Antiokia. Huko ndiko walikoombewa neema ya Mungu kwa ile kazi waliyokwisha kuitimiza.

Matendo 14 SUV

Matendo 14:26 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Na kutoka huko wakaabiri kwenda Antiokia. Huko ndiko walikoombewa neema ya Mungu kwa ile kazi waliyokwisha kuitimiza.

Matendo 14 SRUV

Matendo 14:26 NEN (Neno)

Kutoka Atalia wakasafiri baharini wakarudi Antiokia, ambako walikuwa wamesifiwa kwa ajili ya neema ya Mungu kutokana na ile huduma waliyokuwa wameikamilisha.

Matendo 14 NEN