Rukia hadi maudhui

Matendo 13:9 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 13:9 BHN (Biblia Habari Njema)

Basi, Saulo ambaye aliitwa pia Paulo, akiwa amejaa Roho Mtakatifu, alimkodolea macho huyo mchawi

Matendo 13 BHN

Matendo 13:9 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Lakini Sauli, ambaye ndiye Paulo, akijaa Roho Mtakatifu, akamkazia macho

Matendo 13 SUV

Matendo 13:9 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Lakini Sauli, ambaye ndiye Paulo, akiwa amejaa Roho Mtakatifu, akamkazia macho

Matendo 13 SRUV

Matendo 13:9 NEN (Neno)

Ndipo Sauli, ambaye pia aliitwa Paulo, akiwa amejawa na Roho Mtakatifu, akamkazia macho Elima huyo mchawi

Matendo 13 NEN