Rukia hadi maudhui

Matendo 13:6 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 13:6 BHN (Biblia Habari Njema)

Walitembea toka upande mmoja wa kisiwa mpaka Pafo, upande wa pili, na huko walimkuta mchawi mmoja Myahudi aitwaye Bar-yesu ambaye alijisingizia kuwa nabii.

Matendo 13 BHN

Matendo 13:6 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Walipokwisha kupita katikati ya kisiwa chote mpaka Pafo, wakaona mtu mmoja, mchawi, nabii wa uongo, Myahudi jina lake Bar-Yesu

Matendo 13 SUV

Matendo 13:6 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Walipokwisha kupita katikati ya kisiwa chote mpaka Pafo, wakaona mtu mmoja, mchawi, nabii wa uongo, Myahudi jina lake Bar-Yesu

Matendo 13 SRUV

Matendo 13:6 NEN (Neno)

Walipokwisha kupita katika nchi zote hizo wakafika Pafo, ambapo walikutana na Myahudi mmoja mchawi aliyekuwa nabii wa uongo, jina lake Bar-Yesu.

Matendo 13 NEN