Rukia hadi maudhui

Matendo 13:44 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 13:44 BHN (Biblia Habari Njema)

Siku ya Sabato iliyofuata, karibu kila mtu katika ule mji alikuja kusikiliza neno la Bwana.

Matendo 13 BHN

Matendo 13:44 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Hata sabato ya pili, watu wengi, karibu mji wote, wakakusanyika walisikie neno la Mungu.

Matendo 13 SUV

Matendo 13:44 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Hata sabato ya pili, watu wengi, karibu mji wote, wakakusanyika walisikie neno la Mungu.

Matendo 13 SRUV

Matendo 13:44 NEN (Neno)

Sabato iliyofuata, karibu watu wote wa mji walikuja kusikiliza neno la Bwana.

Matendo 13 NEN