Matendo 13:4 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 13:4 BHN (Biblia Habari Njema)
Basi, Barnaba na Saulo walipokwisha tumwa na Roho Mtakatifu, walishuka hadi Seleukia, na kutoka huko walipanda meli hadi kisiwa cha Kupro.
Shirikisha
Matendo 13 BHNMatendo 13:4 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi watu hao, wakiisha kupelekwa na Roho Mtakatifu wakatelemkia Seleukia, na kutoka huko wakasafiri baharini hata Kipro.
Shirikisha
Matendo 13 SUVMatendo 13:4 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Basi watu hao, walipotumwa hadi Kipro na Roho Mtakatifu wakateremkia Seleukia, na kutoka huko wakasafiri baharini hata Kipro.
Shirikisha
Matendo 13 SRUVMatendo 13:4 NEN (Neno)
Hivyo, wakiwa wametumwa na Roho Mtakatifu, wakashuka kwenda Seleukia na kutoka huko wakasafiri baharini hadi kisiwa cha Kipro.
Shirikisha
Matendo 13 NEN