Rukia hadi maudhui

Matendo 13:37 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 13:37 BHN (Biblia Habari Njema)

Lakini yule ambaye Mungu alimfufua kutoka wafu hakupata kuoza.

Matendo 13 BHN

Matendo 13:37 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Bali huyu aliyefufuliwa na Mungu hakuona uharibifu.

Matendo 13 SUV

Matendo 13:37 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Bali huyu aliyefufuliwa na Mungu hakuona uharibifu.

Matendo 13 SRUV

Matendo 13:37 NEN (Neno)

Lakini yule ambaye Mungu alimfufua kutoka kwa wafu hakuona uharibifu.

Matendo 13 NEN