Rukia hadi maudhui

Matendo 13:35 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 13:35 BHN (Biblia Habari Njema)

Naam, na katika sehemu nyingine za Zaburi asema: ‘Hutamwacha Mtakatifu wako aoze.’

Matendo 13 BHN

Matendo 13:35 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Kwa hiyo anena na pengine, Hutamwachia Mtakatifu wako kuona uharibifu.

Matendo 13 SUV

Matendo 13:35 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Kwa hiyo anena na pengine, Hutamwachia Mtakatifu wako kuona uharibifu.

Matendo 13 SRUV

Matendo 13:35 NEN (Neno)

Kama ilivyosemwa mahali pengine katika Zaburi, “ ‘Hutamwacha Aliye Mtakatifu wako kuona uharibifu.’

Matendo 13 NEN