Matendo 13:28 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 13:28 BHN (Biblia Habari Njema)
Ingawa hawakumpata na hatia inayostahili auawe, walimwomba Pilato amhukumu auawe.
Matendo 13:28 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na ijapokuwa hawakuona sababu ya kumfisha wakamwomba Pilato auawe.
Matendo 13:28 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Na ijapokuwa hawakuona sababu ya kumwua wakamwomba Pilato auawe.
Matendo 13:28 NEN (Neno)
Ijapokuwa hawakupata sababu yoyote ya kumhukumu kifo, walimwomba Pilato aamuru auawe.