Rukia hadi maudhui

Matendo 13:24 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 13:24 BHN (Biblia Habari Njema)

Kabla ya kuja kwake Yesu, Yohane alimtangulia akiwahubiria watu wote wa Israeli kwamba ni lazima watubu na kubatizwa.

Matendo 13 BHN

Matendo 13:24 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Yohana alipokuwa amekwisha kuwahubiri watu wote wa Israeli habari za ubatizo wa toba, kabla ya kuja kwake.

Matendo 13 SUV

Matendo 13:24 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Yohana alipokuwa amekwisha kuwahubiria watu wote wa Israeli habari za ubatizo wa toba, kabla ya kuja kwake.

Matendo 13 SRUV

Matendo 13:24 NEN (Neno)

Kabla ya kuja kwa Yesu, Yohana alihubiri toba na ubatizo kwa watu wote wa Israeli.

Matendo 13 NEN