Rukia hadi maudhui

Matendo 13:13 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 13:13 BHN (Biblia Habari Njema)

Kutoka Pafo, Paulo na wenzake walipanda meli wakaenda hadi Perga katika Pamfulia; lakini Yohane aliwaacha, akarudi Yerusalemu.

Matendo 13 BHN

Matendo 13:13 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Kisha Paulo na wenziwe wakang’oa nanga wakasafiri kutoka Pafo, wakafika Perge katika Pamfilia. Yohana akawaacha akarejea Yerusalemu.

Matendo 13 SUV

Matendo 13:13 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Kisha Paulo na wenziwe wakang'oa nanga wakasafiri kutoka Pafo, wakafika Perge katika Pamfilia. Yohana akawaacha akarejea Yerusalemu.

Matendo 13 SRUV

Matendo 13:13 NEN (Neno)

Kisha Paulo na wenzake wakasafiri toka Pafo wakafika Perga huko Pamfilia. Lakini, Yohana Marko akawaacha huko, akarejea Yerusalemu.

Matendo 13 NEN