Matendo 12:3 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 12:3 BHN (Biblia Habari Njema)
Alipoona kuwa kitendo hicho kiliwapendeza Wayahudi, aliendelea, akamkamata Petro. (Hiyo ilifanyika wakati wa sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu).
Shirikisha
Matendo 12 BHNMatendo 12:3 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na akiona ya kuwa imewapendeza Wayahudi akaendelea akamshika na Petro. Siku hizo zilikuwa siku za mikate isiyochachwa.
Shirikisha
Matendo 12 SUVMatendo 12:3 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Na akiona ya kuwa imewapendeza Wayahudi aliendelea na kumshika Petro pia. Siku hizo zilikuwa siku za mikate isiyochachwa.
Shirikisha
Matendo 12 SRUVMatendo 12:3 NEN (Neno)
Alipoona jambo hilo limewapendeza Wayahudi, akaendelea, akamkamata Petro pia. Hii ilitokea wakati wa Sikukuu ya Mikate Isiyotiwa Chachu.
Shirikisha
Matendo 12 NEN