Matendo 12:18 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 12:18 BHN (Biblia Habari Njema)
Kulipokucha, ulitokea wasiwasi mkubwa kati ya wale askari kuhusu yaliyokuwa yamempata Petro.
Matendo 12:18 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata kulipopambauka askari wakaingiwa na fadhaa nyingi, amekuwaje Petro.
Matendo 12:18 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Kulipopambazuka askari wakaingiwa na fadhaa juu ya yaliyompata Petro.
Matendo 12:18 NEN (Neno)
Kulipokucha kukawa na fadhaa kubwa miongoni mwa wale askari kuhusu yaliyomtukia Petro.