Rukia hadi maudhui

Matendo 12:17 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 12:17 BHN (Biblia Habari Njema)

Petro aliwaashiria kwa mkono wakae kimya, akawaeleza jinsi Bwana alivyomtoa gerezani. Kisha akawaambia watoe taarifa ya jambo hilo kwa Yakobo na wale ndugu wengine, halafu akatoka akaenda mahali pengine.

Matendo 12 BHN

Matendo 12:17 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Naye akawapungia mkono wanyamaze, akawaeleza jinsi Bwana alivyomtoa katika gereza. Akasema, Kampasheni Yakobo na wale ndugu habari hizi. Akaondoka, akaenda mahali pengine.

Matendo 12 SUV

Matendo 12:17 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Naye akawapungia mkono wanyamaze, akawaeleza jinsi Bwana alivyomtoa katika gereza. Akasema, Kampasheni Yakobo na wale ndugu habari hizi. Akaondoka, akaenda mahali pengine.

Matendo 12 SRUV

Matendo 12:17 NEN (Neno)

Yeye akawaashiria kwa mkono wake wanyamaze kimya, akawaeleza jinsi Bwana alivyomtoa gerezani. Naye akaongeza kusema, “Waelezeni Yakobo na ndugu wengine habari hizi.” Kisha akaondoka akaenda sehemu nyingine.

Matendo 12 NEN