Rukia hadi maudhui

Matendo 12:1 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 12:1 BHN (Biblia Habari Njema)

Karibu wakati huohuo, mfalme Herode alianza kuwatesa baadhi ya Wakristo.

Matendo 12 BHN

Matendo 12:1 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Panapo majira yale yale Herode mfalme akanyosha mikono yake kuwatenda mabaya baadhi ya watu wa kanisa.

Matendo 12 SUV

Matendo 12:1 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Karibu wakati ule ule, Herode mfalme akanyosha mikono yake kuwatenda mabaya baadhi ya watu wa kanisa.

Matendo 12 SRUV

Matendo 12:1 NEN (Neno)

Wakati huo huo Mfalme Herode Agripa aliwakamata baadhi ya watu wa kanisa.

Matendo 12 NEN