Rukia hadi maudhui

Matendo 11:28 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 11:28 BHN (Biblia Habari Njema)

Basi, mmoja wao aitwaye Agabo alisimama, na kwa uwezo wa Roho akabashiri kwamba kutakuwa na njaa kubwa katika nchi yote. (Njaa hiyo ilitokea wakati wa utawala wa Klaudio).

Matendo 11 BHN

Matendo 11:28 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Na tulipokusanyika akasimama mmoja wao, jina lake Agabo, akaonyesha kwa uweza wa Roho Mtakatifu kwamba njaa kubwa itakuja karibu katika dunia nzima, nayo ikatukia katika siku za Klaudio.

Matendo 11 SUV

Matendo 11:28 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Na tulipokusanyika akasimama mmoja wao, jina lake Agabo, akaonesha kwa uweza wa Roho Mtakatifu kwamba njaa kubwa itakuja karibu katika dunia nzima, nayo ikatukia katika siku za Klaudio.

Matendo 11 SRUV

Matendo 11:28 NEN (Neno)

Mmoja wao aliyeitwa Agabo akasimama, akatabiri kwa uweza wa Roho Mtakatifu kwamba njaa kubwa ingeenea ulimwengu mzima. (Njaa hiyo ilitokea wakati wa utawala wa Klaudio.)

Matendo 11 NEN