Matendo 11:22 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 11:22 BHN (Biblia Habari Njema)
Habari ya jambo hilo ikasikika kwa lile kanisa la Yerusalemu. Hivyo wakamtuma Barnaba aende Antiokia.
Matendo 11:22 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Habari hizo za watu hao zikafika masikioni mwa kanisa lililokuwako katika Yerusalemu; wakamtuma Barnaba, aende hata Antiokia.
Matendo 11:22 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Habari hizo za watu hao zikafika masikioni mwa kanisa lililokuwako katika Yerusalemu; wakamtuma Barnaba, aende hadi Antiokia.
Matendo 11:22 NEN (Neno)
Habari hizi zilipofika masikioni mwa kanisa huko Yerusalemu, wakamtuma Barnaba aende Antiokia.