Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Matendo 10:7 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 10:7 BHN (Biblia Habari Njema)

Huyo malaika aliyesema hayo alipokwisha kwenda zake, Kornelio aliwaita watumishi wawili wa nyumbani na mmoja wa askari zake ambaye alikuwa mcha Mungu

Shirikisha
Matendo 10 BHN

Matendo 10:7 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Na yule malaika aliyesema naye akiisha kuondoka, Kornelio akawaita wawili katika watumishi wake wa nyumbani, na askari mmoja, mtu mtauwa katika wale waliomhudumia daima

Shirikisha
Matendo 10 SUV

Matendo 10:7 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Na yule malaika aliyesema naye akiisha kuondoka, Kornelio akawaita watumishi wake wawili wa nyumbani, na askari mmoja, mtu mtauwa kati ya wale waliomhudumia daima

Shirikisha
Matendo 10 SRUV

Matendo 10:7 NEN (Neno)

Yule malaika aliyekuwa akizungumza naye alipoondoka, Kornelio akawaita watumishi wake wawili pamoja na askari mmoja mcha Mungu aliyekuwa miongoni mwa wale waliomtumikia.

Shirikisha
Matendo 10 NEN