Matendo 10:40 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 10:40 BHN (Biblia Habari Njema)
lakini Mungu alimfufua siku ya tatu, akamfanya aonekane
Matendo 10:40 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huyo Mungu alimfufua siku ya tatu, akamjalia kudhihirika
Matendo 10:40 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Huyo Mungu alimfufua siku ya tatu, akamjalia kudhihirika
Matendo 10:40 NEN (Neno)
Lakini Mungu alimfufua kutoka kwa wafu siku ya tatu na akamwezesha kuonekana na watu.