Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Matendo 10:3 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 10:3 BHN (Biblia Habari Njema)

Yapata saa tisa alasiri, aliona dhahiri katika maono malaika wa Mungu akiingia ndani na kumwambia, “Kornelio!”

Shirikisha
Matendo 10 BHN

Matendo 10:3 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Akaona katika maono waziwazi, kama saa tisa ya mchana, malaika wa Mungu, akimjia na kumwambia, Kornelio!

Shirikisha
Matendo 10 SUV

Matendo 10:3 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Akaona katika maono waziwazi, kama saa tisa ya mchana, malaika wa Mungu, akimjia na kumwambia, Kornelio!

Shirikisha
Matendo 10 SRUV

Matendo 10:3 NEN (Neno)

Siku moja alasiri, yapata saa tisa, aliona maono waziwazi, malaika wa Mungu akimjia na kumwambia, “Kornelio!”

Shirikisha
Matendo 10 NEN