Rukia hadi maudhui

Matendo 10:25 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 10:25 BHN (Biblia Habari Njema)

Petro alipokuwa anaingia, Kornelio alitoka nje kumlaki, akapiga magoti mbele yake na kuinama chini kabisa.

Matendo 10 BHN

Matendo 10:25 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Petro alipokuwa akiingia Kornelio akatoka amlaki akamwangukia miguu, akamsujudia.

Matendo 10 SUV

Matendo 10:25 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Petro alipokuwa akiingia Kornelio akatoka amlaki akamwangukia miguuni mwake, akamsujudia.

Matendo 10 SRUV

Matendo 10:25 NEN (Neno)

Petro alipokuwa akiingia ndani, Kornelio alikuja kumlaki, akaanguka miguuni mwake kwa heshima.

Matendo 10 NEN