Matendo 10:24 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 10:24 BHN (Biblia Habari Njema)
Siku ya pili yake walifika Kaisarea na huko Kornelio alikuwa anawangojea pamoja na jamaa na marafiki aliokuwa amewaalika.
Matendo 10:24 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku ya pili yake wakaingia Kaisaria. Na Kornelio alikuwa akiwangojea, hali amekusanya jamaa zake na rafiki zake.
Matendo 10:24 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Kesho yake wakaingia Kaisaria. Na Kornelio alikuwa akiwangojea, akiwa amekusanya jamaa zake na rafiki zake.
Matendo 10:24 NEN (Neno)
Siku iliyofuata wakawasili Kaisaria. Kornelio alikuwa akiwangoja pamoja na jamaa na rafiki zake wa karibu.