Rukia hadi maudhui

Matendo 1:22 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 1:22 BHN (Biblia Habari Njema)

Huyo anapaswa kuwa mmoja wa wale walioandamana nasi tangu Yohane alipokuwa anabatiza mpaka siku ile Yesu alipochukuliwa kutoka kwetu kwenda mbinguni. Huyo atashiriki pamoja nasi jukumu la kushuhudia ufufuo wake Yesu.”

Matendo 1 BHN

Matendo 1:22 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

kuanza tangu ubatizo wa Yohana, hata siku ile alipochukuliwa kwetu kwenda juu, inapasa mmoja wao awe shahidi wa kufufuka kwake pamoja nasi.

Matendo 1 SUV

Matendo 1:22 SRUV (Swahili Revised Union Version)

kuanza tangu ubatizo wa Yohana, hata siku ile alipochukuliwa kwetu kwenda juu, inapasa mmoja wao awe shahidi wa kufufuka kwake pamoja nasi.

Matendo 1 SRUV

Matendo 1:22 NEN (Neno)

kuanzia ubatizo wa Yohana hadi siku aliyochukuliwa kutoka kwetu kwenda Mbinguni. Kwa kuwa mmoja wao inabidi awe shahidi pamoja nasi wa ufufuo wake.”

Matendo 1 NEN