Rukia hadi maudhui

2 Wathesalonike 3:4 - Linganisha Matoleo Yote

2 Wathesalonike 3:4 BHN (Biblia Habari Njema)

Naye Bwana anatupatia tumaini kubwa juu yenu, na hatuna shaka kwamba mnafanya na mtaendelea kufanya yale tuliyowaambieni.

2 Wathesalonike 3:4 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Nasi tumemtumaini Bwana kwa mambo yenu, kwamba mnayafanya tulivyowaagiza, tena kwamba mtayafanya.

2 Wathesalonike 3:4 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Nasi tumemtumaini Bwana kwa mambo yenu, kwamba mnayafanya tulivyowaagiza na kwamba mtaendelea kuyafanya.

2 Wathesalonike 3:4 NEN (Neno)

Nasi tuna tumaini katika Bwana ya kuwa mnafanya na mtaendelea kufanya yale tuliyowaagiza.